AroundMaps Logo
Search
Add Listing

About Kinondoni revival choir

This Page is a place for our Kinondoni revival choir fans. However, we do need to have certain rules.

Tags

Map

Item Reviews - 8

Anynomous

"

KINONDONI REVIVAL CHOIR NCHINI KENYA KWA HUDUMA. ENDELEA KUWATAMKIA BARAKA A UWEPO WA MUNGU

"

08 August 2023

Anynomous

"

MUNGU WATANGULIE WATUMISHI WAKE KRC KTK HUDUMA HII.AIVUVIE HUDUMA YAO NA LADIES CONVENTION KWA UWEPO WAKE, AAMEN.

"

22 July 2023

Anynomous

"

Kinondoni revival choir katika madhabahu ya Bwana wakijiandaa kumwambia shetani No parking...

"

30 May 2023

Anynomous

"

kinondoni revival choir pamoja na Uinjilisti kijitonyama choir katika sherehe za maadhimisho ya miaka 30 ya CVC choir

"

30 April 2023

Anynomous

"

Director Dr. Yotham Mackenzie wa kinondoni revival choir akihudumu katika kanisa la City harvest international church nyuma yao ni baadhi ya wanakwaya wa revival

"

25 March 2023

Anynomous

"

Wapendwa wangu msilipe kikasi kwani kisasi nicha Mungu mwachie Mungu usishindwe na ubaya bali uushinde ubaya kwa wema.

"

05 March 2023

Anynomous

"

Karibu katika kanisa la TAG kimara jumapili hii tarehe 28-01-2018 katika ibada ya baraka Muda kuanzia asubuhi fika ila kukosa ubarikiwe

"

24 January 2023

Anynomous

"

Heri ya mwaka mpya wapendwa wetu wa kinondoni revival choir sasa unaweza kutupata Instagram kwa kuandika kinondoni_revival_choir

Happy new year all friends of kinondoni revival choir now you can find on Instagram as kinondoni_revival_choir

"

17 January 2023

Add Reviews & Rate item

Your rating for this listing :

Help Us to Improve :

Location / Contacts :

Nearby Places :