Hiki ni Kituo cha kufundisha watoto michezo. Tunapokea watoto kuanzia miaka 10 na kuendelea. Tunafundisha Mpira wa miguu/Beach soccer/na Waamuzi. Wasiliana nasi tupigie.