Southern Tanzania Union Mission ndio Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania la Waadventista wa Sabato. Makao yake makuu ni Mbweni, Dar es Salaam.